Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.
Mwanzo 17:26 - Swahili Revised Union Version Siku ile ile akatahiriwa Abrahamu na Ishmaeli mwanawe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Abrahamu na mwanawe Ishmaeli Biblia Habari Njema - BHND Abrahamu na mwanawe Ishmaeli Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Abrahamu na mwanawe Ishmaeli Neno: Bibilia Takatifu Ibrahimu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku hiyo hiyo. Neno: Maandiko Matakatifu Ibrahimu na Ishmaeli mwanawe walitahiriwa siku ile ile, BIBLIA KISWAHILI Siku ile ile akatahiriwa Abrahamu na Ishmaeli mwanawe. |
Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.
Na Ishmaeli mwanawe alikuwa mtu wa miaka kumi na mitatu, alipotahiriwa nyama ya govi lake.
Na watu wote wa nyumba yake, wazaliwa nyumbani, na wanunuliwa kwa fedha katika mkono wa mgeni, wakatahiriwa pamoja naye.