Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
Mwanzo 1:23 - Swahili Revised Union Version Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tano. Biblia Habari Njema - BHND Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tano. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tano. Neno: Bibilia Takatifu Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano. Neno: Maandiko Matakatifu Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano. BIBLIA KISWAHILI Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano. |
Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo.
Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, Leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu.