Mwanzo 1:18 - Swahili Revised Union Version na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. Biblia Habari Njema - BHND ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. Neno: Bibilia Takatifu itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema. Neno: Maandiko Matakatifu itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mwenyezi Mungu akaona kuwa hili ni jema. BIBLIA KISWAHILI na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. |
Kuchomoza kwake ni katika mwisho wa mbingu, Na kuzunguka kwake ni hadi miisho ya mbingu, Wala hakuna kitu Kisichofikiwa na joto lake.
BWANA asema hivi, awapaye watu jua, ili kuwa nuru wakati wa mchana, na amri za mwezi na nyota, ili kuwa nuru wakati wa usiku, aichafuaye bahari, hata mawimbi yake yakavuma; BWANA wa majeshi, ndilo jina lake;