Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mwanzo 1:13 - Swahili Revised Union Version Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tatu. Biblia Habari Njema - BHND Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tatu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ikawa jioni, ikawa asubuhi; siku ya tatu. Neno: Bibilia Takatifu Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu. Neno: Maandiko Matakatifu Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tatu. BIBLIA KISWAHILI Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu. |
Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili ya kuonesha majira, siku na miaka;
Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, Leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu.