Methali 9:5 - Swahili Revised Union Version Njoo ule mkate wangu, Ukanywe divai niliyoichanganya. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Njoo ukale chakula, na unywe divai niliyotengeneza. Biblia Habari Njema - BHND “Njoo ukale chakula, na unywe divai niliyotengeneza. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Njoo ukale chakula, na unywe divai niliyotengeneza. Neno: Bibilia Takatifu Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya. Neno: Maandiko Matakatifu Njooni, mle chakula changu na mnywe divai niliyoichanganya. BIBLIA KISWAHILI Njoo ule mkate wangu, Ukanywe divai niliyoichanganya. |
Wakwasi wote wa dunia watakula na kusujudu, Humwinamia wote washukao mavumbini; Naam, yeye asiyeweza kujihuisha nafsi yake,
Naingia bustanini mwangu, dada yangu, bibi arusi, Nachuma manemane yangu na rihani, Nala sega la asali na asali yangu, Nanywa divai yangu na maziwa. Kaleni, rafiki zangu, kanyweni, Naam, nyweni sana, wapendwa wangu.
Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele; ambacho Mwana wa Adamu atawapa, kwa sababu huyo ndiye aliyetiwa mhuri na Baba, yaani, Mungu.