Methali 7:5 - Swahili Revised Union Version Wapate kukulinda na malaya, Na mwasherati akubembelezaye kwa maneno yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Vitakulinda mbali na mwanamke mbaya, vitakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Biblia Habari Njema - BHND Vitakulinda mbali na mwanamke mbaya, vitakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Vitakulinda mbali na mwanamke mbaya, vitakuepusha na maneno matamu ya mwanamke mgeni. Neno: Bibilia Takatifu watakuepusha na mwanamke mzinzi, kutokana na mwanamke mpotovu na maneno yake ya kubembeleza. Neno: Maandiko Matakatifu watakuepusha na mwanamke mzinzi, kutokana na mwanamke mpotovu na maneno yake ya kubembeleza. BIBLIA KISWAHILI Wapate kukulinda na malaya, Na mwasherati akubembelezaye kwa maneno yake. |