Nao farasi aliokuwa nao Sulemani wakaletwa toka Misri; wakapewa wafanya biashara wake mfalme kwa makundi, kila kundi na thamani yake.
Methali 7:16 - Swahili Revised Union Version Nimetandika kitanda changu, magodoro mazuri, Kwa matandiko ya Kimisri yenye mistari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nimetandika kitanda changu vizuri, kwa shuka za rangi za kitani kutoka Misri. Biblia Habari Njema - BHND Nimetandika kitanda changu vizuri, kwa shuka za rangi za kitani kutoka Misri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nimetandika kitanda changu vizuri, kwa shuka za rangi za kitani kutoka Misri. Neno: Bibilia Takatifu Nimetandika kitanda changu kwa kitani za rangi kutoka Misri. Neno: Maandiko Matakatifu Nimetandika kitanda changu kwa kitani za rangi kutoka Misri. BIBLIA KISWAHILI Nimetandika kitanda changu, magodoro mazuri, Kwa matandiko ya Kimisri yenye mistari. |
Nao farasi aliokuwa nao Sulemani wakaletwa toka Misri; wakapewa wafanya biashara wake mfalme kwa makundi, kila kundi na thamani yake.
Tanga lako lilikuwa la kitani safi itokayo Misri, iliyotiwa taraza, ili iwe bendera kwako; na chandarua chako kilikuwa cha rangi ya samawati na urujuani toka visiwa vya Elisha.
Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;