Methali 6:7 - Swahili Revised Union Version Kwa maana yeye hana kiongozi, Wala msimamizi, wala mkuu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sisimizi hana kiongozi, ofisa, wala mtawala; Biblia Habari Njema - BHND Sisimizi hana kiongozi, ofisa, wala mtawala; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sisimizi hana kiongozi, ofisa, wala mtawala; Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana yeye hana msimamizi, wala mwangalizi, au mtawala, Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana yeye hana msimamizi, wala mwangalizi, au mtawala, BIBLIA KISWAHILI Kwa maana yeye hana kiongozi, Wala msimamizi, wala mkuu, |
Lakini hujiwekea akiba ya chakula wakati wa jua; Hukusanya chakula chake wakati wa mavuno.