Methali 6:28 - Swahili Revised Union Version Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue? Biblia Habari Njema - BHND Je, waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, waweza kukanyaga makaa ya moto na nyayo zako zisiungue? Neno: Bibilia Takatifu Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto bila miguu yake kuungua? Neno: Maandiko Matakatifu Je, mtu aweza kutembea juu ya makaa ya moto yanayowaka bila miguu yake kuungua? BIBLIA KISWAHILI Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue? |