Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Methali 6:27 - Swahili Revised Union Version Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Biblia Habari Njema - BHND Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Je, waweza kuweka moto kifuani na nguo zako zisiungue? Neno: Bibilia Takatifu Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? Neno: Maandiko Matakatifu Je, mtu aweza kuchotea moto kwenye paja lake bila nguo zake kuungua? BIBLIA KISWAHILI Je! Mtu aweza kuchukua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? |
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao hujivunia matendo makuu. Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana.