Methali 5:18 - Swahili Revised Union Version Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Chemchemi yako na ibarikiwe, umfurahie mke uliyemwoa ukiwa kijana. Biblia Habari Njema - BHND Chemchemi yako na ibarikiwe, umfurahie mke uliyemwoa ukiwa kijana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Chemchemi yako na ibarikiwe, umfurahie mke uliyemwoa ukiwa kijana. Neno: Bibilia Takatifu Chemchemi yako na ibarikiwe na umfurahie mke wa ujana wako. Neno: Maandiko Matakatifu Chemchemi yako na ibarikiwe na umfurahie mke wa ujana wako. BIBLIA KISWAHILI Chemchemi yako ibarikiwe; Nawe umfurahie mke wa ujana wako. |
Uishi kwa furaha pamoja na mke umpendaye, siku zote za maisha yako ya ubatili, ulizopewa chini ya jua; siku zote za ubatili wako, kwa maana hiyo ni sehemu yako ya maisha; na katika kazi zako unazozifanya chini ya jua.
Bustani iliyofungwa ni dada yangu, bibi arusi, Kijito kilichofungwa, chemchemi iliyotiwa mhuri.
Wewe ndiwe chemchemi ya bustani yangu, Kisima cha maji yaliyo hai, Vijito vya Lebanoni viendavyo kasi.
Mtu atwaapo mke mpya, asiende vitani pamoja na jeshi, wala asipewe shughuli juu yake yoyote; akae faragha mwaka mmoja nyumbani mwake, apate mfurahisha mkewe aliyemtwaa.