Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 5:19 - Swahili Revised Union Version

19 Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Ni mzuri kama ayala, apendeza kama paa. Mahaba yake yakufurahishe kila wakati, umezwe daima na pendo lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Ni mzuri kama ayala, apendeza kama paa. Mahaba yake yakufurahishe kila wakati, umezwe daima na pendo lake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Ni mzuri kama ayala, apendeza kama paa. Mahaba yake yakufurahishe kila wakati, umezwe daima na pendo lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri: matiti yake na yakutosheleze siku zote, nawe utekwe daima na upendo wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri: matiti yake na yakutosheleze siku zote, nawe utekwe daima na upendo wake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe siku zote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.

Tazama sura Nakili

Methali 5:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha msafiri mmoja akamfikia yule tajiri, naye akaacha kutwaa mmoja wa kondoo zake mwenyewe au mmoja wa ng'ombe zake mwenyewe, ili kumwandalia yule msafiri aliyemfikia, bali alimnyang'anya yule maskini mwana-kondoo wake, akamwandalia yule mtu aliyemfikia.

Unywe maji ya tangi lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.

Mwanangu! Mbona unashangilia malaya, Na kukikumbatia kifua cha mgeni?

Hata jua lipunge, na vivuli vikimbie, Unigeukie, mpendwa wangu, Nawe uwe kama paa, au ayala, Juu ya milima ya Betheri.

Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani.

Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Nyuma ya barakoa yako. Ambao ni mapacha ya paa; Wakilisha penye nyinyoro.

Matiti yako mawili ni kama wanapaa wawili, Ambao ni mapacha ya paa;

Ukimbie, mpendwa wangu, Nawe uwe kama paa, au ayala, Juu ya milima ya manukato.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo