Methali 5:17 - Swahili Revised Union Version17 Yawe yako mwenyewe peke yako, Wala si ya wageni pamoja nawe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hiyo ni yako wewe mwenyewe, wala usiwashirikishe watu wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hiyo ni yako wewe mwenyewe, wala usiwashirikishe watu wengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hiyo ni yako wewe mwenyewe, wala usiwashirikishe watu wengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Na viwe vyako mwenyewe, kamwe visishirikishwe wageni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Na viwe vyako mwenyewe, kamwe visishirikishwe wageni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Yawe yako mwenyewe peke yako, Wala si ya wageni pamoja nawe. Tazama sura |