Methali 30:6 - Swahili Revised Union Version Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiongeze neno katika maneno yake, asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo. Biblia Habari Njema - BHND Usiongeze neno katika maneno yake, asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiongeze neno katika maneno yake, asije akakukemea, nawe ukaonekana mwongo. Neno: Bibilia Takatifu Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. Neno: Maandiko Matakatifu Usiongeze kwenye maneno yake, ama atakukemea na kukuthibitisha kuwa mwongo. BIBLIA KISWAHILI Usiongeze neno katika maneno yake; Asije akakulaumu, ukaonekana u mwongo. |
Naam, na sisi tumeonekana kuwa mashahidi wa uongo wa Mungu; kwa maana tulimshuhudia Mungu ya kuwa alimfufua Kristo, ambaye hakumfufua, ikiwa wafu hawafufuliwi.
Msiliongeze neno ninalowaamuru wala msilipunguze, mpate kuzishika amri za BWANA, Mungu wenu, ninazowaamuru.