Methali 30:26 - Swahili Revised Union Version Kwanga ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema pelele: Wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani; Biblia Habari Njema - BHND pelele: Wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza pelele: wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani; Neno: Bibilia Takatifu Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo, hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. Neno: Maandiko Matakatifu Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba. BIBLIA KISWAHILI Kwanga ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba. |