Methali 29:7 - Swahili Revised Union Version Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwadilifu anajua haki za maskini, lakini mtu mwovu hajui mambo hayo. Biblia Habari Njema - BHND Mwadilifu anajua haki za maskini, lakini mtu mwovu hajui mambo hayo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwadilifu anajua haki za maskini, lakini mtu mwovu hajui mambo hayo. Neno: Bibilia Takatifu Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, bali mwovu hajishughulishi na hilo. Neno: Maandiko Matakatifu Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, bali mwovu hajishughulishi na hilo. BIBLIA KISWAHILI Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue. |
Na nishangilie, nizifurahie fadhili zako, Kwa kuwa umeyaona mateso yangu. Umeijua nafsi yangu taabuni,
Wamenenepa sana, wang'aa; naam, wamepita kiasi kwa matendo maovu; hawatetei madai ya yatima, ili wapate kufanikiwa; wala hawaamui haki ya mhitaji.
Ndani yako wamedharau baba na mama; kati yako wamewatenda wageni udhalimu; ndani yako wamewaonea yatima na mjane.
Ndugu zangu, mtu akishikwa katika kosa lolote, ninyi mlio wa Roho mrejesheni upya mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako usije ukajaribiwa wewe mwenyewe.
Nakusihi, bwana wangu, wewe usimwangalie huyu mtu asiyefaa, yaani Nabali; kwa maana kama lilivyo jina lake ndivyo alivyo yeye; jina lake ndilo Nabali, na upumbavu anao; lakini mimi, mjakazi wako, sikuwaona hao vijana wa bwana wangu aliowatuma.