Tena hapo mtakapokwenda kupiga vita katika nchi yenu, kupigana na adui awaoneaye ninyi, ndipo mtakapopiga sauti ya kugutusha kwa tarumbeta; nanyi mtakumbukwa mbele za BWANA, Mungu wenu, nanyi mtaokolewa na adui zenu.
Methali 28:3 - Swahili Revised Union Version Mtu mhitaji awaoneaye maskini, Ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza chakula. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Biblia Habari Njema - BHND Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu mhitaji anayewadhulumu maskini, amefanana na mvua kubwa inayoharibu mimea. Neno: Bibilia Takatifu Mtawala anayewadhulumu maskini, ni kama mvua ya dhoruba inayoharibu mazao yote. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. BIBLIA KISWAHILI Mtu mhitaji awaoneaye maskini, Ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza chakula. |