Methali 24:18 - Swahili Revised Union Version BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu. Biblia Habari Njema - BHND maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza maana Mwenyezi-Mungu aonaye hayo hatapendezwa; huenda akaacha kumwadhibu. Neno: Bibilia Takatifu Mwenyezi Mungu asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. Neno: Maandiko Matakatifu bwana asije akaona na kuchukia akaiondoa ghadhabu yake mbali naye. BIBLIA KISWAHILI BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake. |