Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya, Nisiyazoelee matendo yasiyofaa, Pamoja na watu watendao maovu; Wala nisile vyakula vyao vya anasa.
Methali 23:6 - Swahili Revised Union Version Usile mkate wa mtu mwenye husuda; Wala usivitamani vyakula vyake vya anasa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopocho yake, Biblia Habari Njema - BHND Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopocho yake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopocho yake, Neno: Bibilia Takatifu Usile chakula cha mtu mchoyo, usitamani vyakula vyake vitamu, Neno: Maandiko Matakatifu Usile chakula cha mtu mchoyo, usitamani vyakula vyake vitamu, BIBLIA KISWAHILI Usile mkate wa mtu mwenye husuda; Wala usivitamani vyakula vyake vya anasa; |
Usiuelekeze moyo wangu kunako jambo baya, Nisiyazoelee matendo yasiyofaa, Pamoja na watu watendao maovu; Wala nisile vyakula vyao vya anasa.
Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo? Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema?
wizi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu.
Jitunze, msiwe na neno lisilofaa moyoni mwako, kusema, Umekaribia mwaka wa saba, mwaka wa maachilio; jicho lako likawa ovu juu ya nduguyo usimpe kitu; naye akamlilia BWANA juu yako, ikawa ni dhambi kwako.
Mwanamke kati yenu aliye mwororo na laini, ambaye hangehatarisha kuweka wayo wa mguu wake nchi kwa umalidadi na ulaini, jicho lake huyu litakuwa ovu juu ya mume wa kifuani mwake, na juu ya mwanawe, na juu ya binti yake,