Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu;
Methali 23:12 - Swahili Revised Union Version Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tumia akili zako kufuata mafundisho; tumia masikio yako kusikiliza maarifa. Biblia Habari Njema - BHND Tumia akili zako kufuata mafundisho; tumia masikio yako kusikiliza maarifa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tumia akili zako kufuata mafundisho; tumia masikio yako kusikiliza maarifa. Neno: Bibilia Takatifu Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. Neno: Maandiko Matakatifu Elekeza moyo wako kwenye mafundisho na masikio yako kwenye maneno ya maarifa. BIBLIA KISWAHILI Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa. |
Tega sikio lako uyasikie maneno ya wenye hekima, na kuuelekeza moyo wako kwa maarifa yangu;
Nao huja kwako kama watu wajavyo, nao hukaa mbele yako kama watu wangu, nao husikia maneno yako, wasiyatende; maana kwa vinywa vyao hujifanya kuwa wenye upendo mwingi, lakini mioyo yao inatafuta faida yao.
Akawaambia, Kwa sababu hiyo, kila mwandishi mwenye elimu ya ufalme wa mbinguni amefanana na mtu mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale.