Naye akawatoa watu waliokuwamo, akawaweka kwenye kazi ya misumeno, na sululu za chuma, na mashoka ya chuma, akawafanyiza kazi tanurini mwa matofali; ndivyo alivyoifanya miji yote ya wana wa Amoni. Kisha Daudi akarudi na watu wote Yerusalemu.
Methali 20:26 - Swahili Revised Union Version Mfalme mwenye hekima huwapepeta wasio haki; Naye hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu; huwaadhibu bila huruma. Biblia Habari Njema - BHND Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu; huwaadhibu bila huruma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu; huwaadhibu bila huruma. Neno: Bibilia Takatifu Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. Neno: Maandiko Matakatifu Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. BIBLIA KISWAHILI Mfalme mwenye hekima huwapepeta wasio haki; Naye hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. |
Naye akawatoa watu waliokuwamo, akawaweka kwenye kazi ya misumeno, na sululu za chuma, na mashoka ya chuma, akawafanyiza kazi tanurini mwa matofali; ndivyo alivyoifanya miji yote ya wana wa Amoni. Kisha Daudi akarudi na watu wote Yerusalemu.
Basi na huyu Boazi, je! Siye wa mbari yetu, ambaye ulikuwapo pamoja na wasichana wake? Tazama, usiku wa leo atakuwa akipepeta shayiri pale ugani.