Methali 20:26 - Swahili Revised Union Version26 Mfalme mwenye hekima huwapepeta wasio haki; Naye hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu; huwaadhibu bila huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu; huwaadhibu bila huruma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Mfalme mwenye busara huwapepeta waovu; huwaadhibu bila huruma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Mfalme mwenye hekima huwapepeta wasio haki; Naye hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. Tazama sura |