BWANA na akupe busara na akili, akakuagizie juu ya Israeli; ili uishike Torati ya BWANA, Mungu wako.
Methali 2:3 - Swahili Revised Union Version Naam, ukiita busara, Na kupaza sauti yako upate ufahamu; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema naam, ukiomba upewe busara, ukisihi upewe ufahamu; Biblia Habari Njema - BHND naam, ukiomba upewe busara, ukisihi upewe ufahamu; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza naam, ukiomba upewe busara, ukisihi upewe ufahamu; Neno: Bibilia Takatifu na kama utaiita busara, na kuita kwa sauti upate ufahamu, Neno: Maandiko Matakatifu na kama ukiita busara na kuita kwa sauti ufahamu, BIBLIA KISWAHILI Naam, ukiita busara, Na kupaza sauti yako upate ufahamu; |
BWANA na akupe busara na akili, akakuagizie juu ya Israeli; ili uishike Torati ya BWANA, Mungu wako.
Basi, ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu zawadi nzuri, je! Baba aliye mbinguni hatazidi sana kuwapa Roho Mtakatifu hao wamwombao?
Lakini mmoja wenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.