Akaona mahali pa raha, kuwa pema, Na nchi, ya kuwa ni nzuri, Akainama bega lake lichukue mizigo, Akawa mtumishi kwa kazi ngumu.
Methali 2:18 - Swahili Revised Union Version Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyumba yake yaelekea kuzimu, njia zake zinakwenda ahera. Biblia Habari Njema - BHND Nyumba yake yaelekea kuzimu, njia zake zinakwenda ahera. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyumba yake yaelekea kuzimu, njia zake zinakwenda ahera. Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana nyumba yake huelekea kwenye kifo na mapito yake kwenye roho za waliokufa. BIBLIA KISWAHILI Maana nyumba yake inaelekea mauti, Na mapito yake yanakwenda kwenye wafu. |
Akaona mahali pa raha, kuwa pema, Na nchi, ya kuwa ni nzuri, Akainama bega lake lichukue mizigo, Akawa mtumishi kwa kazi ngumu.
Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, (ndiye mwabudu sanamu), aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Huko nje wako mbwa, na wachawi, na wazinzi, na wauaji, na hao waabuduo sanamu, na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.