Methali 9:18 - Swahili Revised Union Version18 Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini mjinga hajui kwamba humo mna wafu, wageni wa mwanamke huyo wamo chini Kuzimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya Kuzimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini hawajui hata kidogo kuwa wafu wako humo, kwamba wageni wake huyo mwanamke wako katika vilindi vya kuzimu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni. Tazama sura |