Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu,
Methali 2:10 - Swahili Revised Union Version Maana hekima itaingia moyoni mwako, Na maarifa yatakupendeza nafsi yako; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana hekima itaingia moyoni mwako, na maarifa yataipendeza nafsi yako. Biblia Habari Njema - BHND Maana hekima itaingia moyoni mwako, na maarifa yataipendeza nafsi yako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana hekima itaingia moyoni mwako, na maarifa yataipendeza nafsi yako. Neno: Bibilia Takatifu Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa maana hekima itaingia moyoni mwako, nayo maarifa yataifurahisha nafsi yako. BIBLIA KISWAHILI Maana hekima itaingia moyoni mwako, Na maarifa yatakupendeza nafsi yako; |
Sikurudi nyuma kuiacha amri ya midomo yake; Nimeyatunza maneno ya kinywa chake zaidi ya riziki yangu,
Ni za kutamanika kuliko dhahabu, Kuliko wingi wa dhahabu safi. Nazo ni tamu kuliko asali, Kuliko sega la asali.
Hekima hukaa katika moyo wake mwenye ufahamu; Bali yaliyo ndani ya wapumbavu hudhihirika.
Maneno yako yalionekana, nami nikayala; na maneno yako yalikuwa ni furaha kwangu, na shangwe ya moyo wangu; maana nimeitwa kwa jina lako, Ee BWANA, Mungu wa majeshi.
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.