Methali 1:12 - Swahili Revised Union Version Tuwameze hai kama kuzimu, Na wazima, kama wao washukao shimoni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tutawameza kama Kuzimu wakiwa hai, watakuwa kama wale washukao Shimoni. Biblia Habari Njema - BHND Tutawameza kama Kuzimu wakiwa hai, watakuwa kama wale washukao Shimoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tutawameza kama Kuzimu wakiwa hai, watakuwa kama wale washukao Shimoni. Neno: Bibilia Takatifu tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. Neno: Maandiko Matakatifu tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. BIBLIA KISWAHILI Tuwameze hai kama kuzimu, Na wazima, kama wao washukao shimoni. |
Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni.
Ee BWANA, nitakuita Ewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu kama kiziwi. Nisije nikafanana nao washukao shimoni, Ikiwa umeninyamalia.
Maana vinywani mwao hamna uaminifu; Moyo wao ni shimo tupu, koo lao ni kaburi wazi, Ulimi wao hujipendekeza.
Atanitumia msaada toka mbinguni na kuniokoa, Atawaaibisha wale wanaotaka kunishambulia. Mungu atazituma Fadhili zake na kweli yake.
Nebukadneza, mfalme wa Babeli, amenila, ameniponda, amenifanya kuwa chombo kitupu; amenimeza kama joka, amelijaza tumbo lake vitu vyangu vya anasa; amenitupa
Juu yako adui zako wote Wamepanua vinywa vyao; Huzomea, husaga meno yao, Husema, Tumemmeza; Hakika siku hii ndiyo tuliyoitazamia; Tumeipata, tumeiona.
Bwana amekuwa mfano wa adui, Amemmeza Israeli; Ameyameza majumba yake yote, Ameziharibu ngome zake; Tena amemzidishia binti Yuda Matanga na maombolezo.
nchi ikafunua kinywa chake, na kuwameza pamoja na Kora, mkutano huo ulipokufa; wakati moto ulipowateketeza watu mia mbili na hamsini, nao wakawa ishara.
Koo lao ni kaburi wazi, Kwa ndimi zao wametumia hila. Sumu ya fira iko chini ya midomo yao.