Mathayo 6:8 - Swahili Revised Union Version Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Biblia Habari Njema - BHND Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Msiwe kama wao. Baba yenu anajua mnayoyahitaji hata kabla ya kumwomba. Neno: Bibilia Takatifu Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. Neno: Maandiko Matakatifu Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba. BIBLIA KISWAHILI Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. |
Kwa maana hayo yote Mataifa huyatafuta; kwa sababu Baba yenu wa mbinguni anajua ya kuwa mnahitaji hayo yote.
kwa maana, hayo yote ndiyo watafutayo mataifa ya duniani, lakini Baba yenu anajua ya kuwa mna haja na hayo.
Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.