Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.
Mathayo 5:40 - Swahili Revised Union Version Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Biblia Habari Njema - BHND Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako. Neno: Bibilia Takatifu Mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. Neno: Maandiko Matakatifu Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia. BIBLIA KISWAHILI Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia. |
Lakini mimi nawaambia, Msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kulia, mgeuzie na la pili.
Akupigaye shavu moja, mgeuzie la pili, naye akunyang'anyaye joho yako, usimzuilie na kanzu.
Basi imekuwa upungufu kwenu kabisa kwamba mnashitakiana ninyi kwa ninyi. Maana si afadhali kudhulumiwa? Maana si afadhali kunyang'anywa mali zenu?
Lakini mtu awaye yote akiona ya kuwa hamtendei mwanamwali wake ipendezavyo, na ikiwa huyo amepita uzuri wa ujana wake, na ikiwapo haja, basi, afanye apendavyo, hatendi dhambi, na awaruhusu waoane.