Mathayo 27:65 - Swahili Revised Union Version Pilato akawaambia, Mna askari; nendeni mkalilinde salama kadiri mjuavyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Biblia Habari Njema - BHND Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Pilato akawaambia, “Haya, mnao walinzi; nendeni mkalinde kadiri mjuavyo.” Neno: Bibilia Takatifu Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadiri mnavyoweza.” Neno: Maandiko Matakatifu Pilato akawaambia, “Ninyi mnao askari walinzi. Nendeni, liwekeeni ulinzi kadri mwezavyo.” BIBLIA KISWAHILI Pilato akawaambia, Mna askari; nendeni mkalilinde salama kadiri mjuavyo. |
Basi amuru kwamba kaburi lilindwe salama hadi siku ya tatu; wasije wanafunzi wake wakamwiba, na kuwaambia watu, Amefufuka katika wafu; na udanganyifu wa mwisho utapita ule wa kwanza.
Wakaenda, wakalilinda kaburi salama, kwa kulitia lile jiwe mhuri, pamoja na kuwaweka wale askari walinzi.