Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Mathayo 27:36 - Swahili Revised Union Version Wakaketi, wakamlinda huko. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakaketi, wakawa wanamchunga. Biblia Habari Njema - BHND Wakaketi, wakawa wanamchunga. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakaketi, wakawa wanamchunga. Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakaketi, wakamchunga. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakaketi, wakamchunga. BIBLIA KISWAHILI Wakaketi, wakamlinda huko. |
Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.
Basi yule afisa, na hao waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu, walipoliona tetemeko la ardhi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakisema, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Basi yule kamanda, aliyesimama hapo akimwelekea, alipoona ya kuwa alikata roho jinsi hii, akasema, Hakika mtu huyu alikuwa Mwana wa Mungu.
Lakini Pilato akastaajabu, kama amekwisha kufa. Akamwita yule kamanda, akamwuliza kwamba amekufa kitambo.