Nikawaambia, Mkiona vema, nipeni ujira wangu; kama sivyo, msinipe. Basi wakanipimia vipande thelathini vya fedha, kuwa ndio ujira wangu.
Mathayo 27:10 - Swahili Revised Union Version wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.” Biblia Habari Njema - BHND wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakanunua nazo shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza.” Neno: Bibilia Takatifu wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Mwenyezi Mungu alivyoniagiza.” Neno: Maandiko Matakatifu wakanunulia shamba la mfinyanzi, kama vile Bwana Mwenyezi Mungu alivyoniagiza.” BIBLIA KISWAHILI wakavitumia kwa kununua shamba la mfinyanzi, kama Bwana alivyoniagiza. |
Nikawaambia, Mkiona vema, nipeni ujira wangu; kama sivyo, msinipe. Basi wakanipimia vipande thelathini vya fedha, kuwa ndio ujira wangu.
Kisha BWANA akaniambia, Mtupie mfinyanzi kima kizuri, hicho nilichotiwa kima na watu hao. Basi nikavitwaa vile vipande thelathini vya fedha, nikamtupia huyo mfinyanzi ndani ya nyumba ya BWANA.