Mathayo 26:68 - Swahili Revised Union Version wakisema, Ewe Kristo, tufumbulie; ni nani aliyekupiga? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakasema, “Tubashirie basi, wewe Kristo; ni nani amekupiga!” Biblia Habari Njema - BHND wakasema, “Tubashirie basi, wewe Kristo; ni nani amekupiga!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakasema, “Tubashirie basi, wewe Kristo; ni nani amekupiga!” Neno: Bibilia Takatifu na kusema, “Tutabirie, wewe Al-Masihi! Ni nani aliyekupiga?” Neno: Maandiko Matakatifu na kusema, “Tutabirie, wewe Al-Masihi! Ni nani aliyekupiga?” BIBLIA KISWAHILI wakisema, Ewe Kristo, tufumbulie; ni nani aliyekupiga? |
Wengine wakaanza kumtemea mate, wakamfunika uso, na kumpiga makonde, na kumwambia, tabiri. Hata watumishi nao wakamchukua wakampiga makofi.
Ikawa mioyo yao iliposhangilia, wakasema, Mwiteni Samsoni, ili atufanyie michezo. Basi wakamwita Samsoni atoke gerezani, akacheze mbele yao wakamweka katikati ya nguzo mbili.