Mathayo 26:6 - Swahili Revised Union Version Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mwenye ukoma, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma, Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipokuwa Bethania, nyumbani kwa Simoni, aitwaye Mkoma, Neno: Bibilia Takatifu Isa alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma. Neno: Maandiko Matakatifu Isa alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma, BIBLIA KISWAHILI Naye Yesu alipokuwapo Bethania katika nyumba ya Simoni mwenye ukoma, |