Mathayo 26:19 - Swahili Revised Union Version Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa Pasaka. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka. Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaandaa Pasaka. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo wanafunzi wakafanya vile Isa alivyokuwa amewaelekeza, nao wakaandaa Pasaka. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo wanafunzi wakafanya kama vile Isa alivyokuwa amewaelekeza, nao wakaandaa Pasaka. BIBLIA KISWAHILI Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa Pasaka. |
Akasema, Nendeni mjini kwa mtu fulani, mkamwambie, Mwalimu asema, Majira yangu ni karibu; kwako nitafanya Pasaka pamoja na wanafunzi wangu.