Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika katika eneo la Yudea, ng'ambo ya Yordani.
Mathayo 26:1 - Swahili Revised Union Version Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake, Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake, Neno: Bibilia Takatifu Isa alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake, Neno: Maandiko Matakatifu Isa alipomaliza kusema hayo yote, akawaambia wanafunzi wake, BIBLIA KISWAHILI Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake, |
Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika katika eneo la Yudea, ng'ambo ya Yordani.
Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu; na wengi wakakwea toka mashambani kwenda Yerusalemu kabla ya Pasaka, ili wajitakase.