Mathayo 19:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika katika eneo la Yudea, ng'ambo ya Yordani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ng'ambo ya mto Yordani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Yudea, ng’ambo ya Yordani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Uyahudi, ng’ambo ya Mto Yordani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo, akatoka Galilaya akafika katika eneo la Yudea, ng'ambo ya Yordani. Tazama sura |