Mathayo 25:12 - Swahili Revised Union Version Akajibu akasema, Amin, nawaambia, siwajui ninyi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini yeye akawajibu, ‘Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.’” Biblia Habari Njema - BHND Lakini yeye akawajibu, ‘Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.’” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini yeye akawajibu, ‘Nawaambieni kweli, siwajui nyinyi.’” Neno: Bibilia Takatifu “Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’ Neno: Maandiko Matakatifu “Lakini yeye bwana arusi akawajibu, ‘Amin, amin nawaambia, siwajui ninyi!’ BIBLIA KISWAHILI Akajibu akasema, Amin, nawaambia, siwajui ninyi. |
Wewe uliye na macho safi hata usiweze kuangalia uovu, wewe usiyeweza kutazama ukaidi, mbona unawaangalia watendao kwa hila; na kunyamaza kimya, hapo mtu mwovu ammezapo mtu aliye mwenye haki kuliko yeye;
Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako;
Tunajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi; bali mtu akiwa ni mcha Mungu, na kuyafanya mapenzi yake, humsikia huyo.
Bali sasa mkiisha kumjua Mungu, au zaidi kujulikana na Mungu, kwa nini kuyarejea tena mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge, yenye upungufu, ambayo mnataka kuyatumikia tena?
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye mhuri huu, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila aliitaye jina la Bwana na auache uovu.