wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Mathayo 24:40 - Swahili Revised Union Version Wakati ule watu wawili watakuwako shambani; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa. Biblia Habari Njema - BHND Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa. Neno: Bibilia Takatifu Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. Neno: Maandiko Matakatifu Watu wawili watakuwa shambani, naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. BIBLIA KISWAHILI Wakati ule watu wawili watakuwako shambani; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa; |
wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Maana ni nani anayekupambanua na mwingine? Nawe una nini usichokipokea? Lakini iwapo ulipokea, wajisifia nini kana kwamba hukupokea?
wala hakuuachilia ulimwengu wa kale, bali alimhifadhi Nuhu, mjumbe wa haki, na watu wengine saba, hapo alipoleta Gharika juu ya ulimwengu wa wasiomcha Mungu;