Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.
Mathayo 24:34 - Swahili Revised Union Version Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Biblia Habari Njema - BHND Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Neno: Bibilia Takatifu Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Neno: Maandiko Matakatifu Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. BIBLIA KISWAHILI Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia. |
Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.
Mara huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kibaya.
Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
ili kwa kizazi hiki itakwe damu ya manabii wote, iliyomwagika tangu kupigwa msingi wa ulimwengu;