Akamwambia, Wataka nini? Akamwambia, Agiza kwamba hawa wanangu wawili waketi mmoja mkono wako wa kulia, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako.
Mathayo 23:6 - Swahili Revised Union Version hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi. Biblia Habari Njema - BHND Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hupenda nafasi za heshima katika karamu na viti vya heshima katika masunagogi. Neno: Bibilia Takatifu Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. Neno: Maandiko Matakatifu Wanapenda kukalia viti vya heshima katika karamu, na vile viti maalum sana katika masinagogi. BIBLIA KISWAHILI hupenda viti vya mbele katika karamu, na kuketi mbele katika masinagogi, |
Akamwambia, Wataka nini? Akamwambia, Agiza kwamba hawa wanangu wawili waketi mmoja mkono wako wa kulia, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako.
Nililiandikia kanisa neno, lakini Diotrefe, apendaye kuwa wa kwanza kati yao, hatukubali.