Mathayo 22:6 - Swahili Revised Union Version nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawadhulumu na kuwaua. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua. Biblia Habari Njema - BHND na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua. Neno: Bibilia Takatifu Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua. Neno: Maandiko Matakatifu Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua. BIBLIA KISWAHILI nao waliosalia wakawakamata watumwa wake, wakawadhulumu na kuwaua. |
Basi yule mfalme akaghadhibika; akatuma majeshi yake, akawaangamiza wauaji wale, akauteketeza mji wao.
Kwa kuwa atatiwa mikononi mwa Mataifa, atafanyiwa dhihaka; atatendwa jeuri, na kutemewa mate;
Siku ile kukatokea mateso makuu kwa kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Yudea na Samaria, isipokuwa hao mitume.
Wakumbukeni hao waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; na hao wanaodhulumiwa, kwa vile ninyi nanyi mlivyo katika mwili.