Mathayo 22:31 - Swahili Revised Union Version Tena kuhusu kiyama ya wafu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia, Biblia Habari Njema - BHND Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini kuhusu kufufuka kwa wafu, je, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu? Aliwaambia, Neno: Bibilia Takatifu Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba, Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjasoma kile Mungu alichowaambia, kwamba, BIBLIA KISWAHILI Tena kuhusu kiyama ya wafu, hamjalisoma neno lililonenwa na Mungu, akisema, |
Lakini kama mngalijua maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka, msingaliwalaumu wasio na hatia.
wakamwambia, Wasikia hawa wasemavyo? Yesu akawaambia, Naam; hamkupata kusoma, Kwa vinywa vya watoto wachanga na wanyonyao umejiandalia sifa?
Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko, Jiwe walilolikataa waashi, Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni; Neno hili limetoka kwa Bwana, Nalo ni la ajabu machoni petu?
Mimi ni Mungu wa Abrahamu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo? Mungu si Mungu wa wafu, bali wa walio hai.
Lakini nendeni, mkajifunze maana yake maneno haya, Nataka rehema, wala si sadaka; kwa maana sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.