Mathayo 22:26 - Swahili Revised Union Version Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba. Biblia Habari Njema - BHND Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba. Neno: Bibilia Takatifu Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili, na wa tatu, hadi wote saba. Neno: Maandiko Matakatifu Ikatokea vivyo hivyo kwa yule ndugu wa pili, na wa tatu, hadi wote saba. BIBLIA KISWAHILI Vivyo hivyo wa pili naye, na wa tatu, hata wote saba. |
Wakatuma kwake wanafunzi wao pamoja na Maherodi, wakasema, Mwalimu, tunajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, na njia ya Mungu waifundisha katika kweli, wala hujali cheo cha mtu awaye yote, kwa maana hutazami sura za watu.
Basi, kwetu kulikuwa na ndugu saba; wa kwanza akaoa, akafariki, na kwa kuwa hana mzao, akamwachia nduguye mke wake.