Mathayo 22:14 - Swahili Revised Union Version Kwa maana waitwao ni wengi, bali wateule ni wachache. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.” Neno: Bibilia Takatifu “Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.” Neno: Maandiko Matakatifu “Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.” BIBLIA KISWAHILI Kwa maana waitwao ni wengi, bali wateule ni wachache. |
Na kama siku hizo zisingalifupishwa, asingeokoka mtu yeyote; lakini kwa ajili ya wateule siku hizo zitafupishwa.
Kwa maana watatokea Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, ikiwezekana, hata walio wateule.
Kwa hiyo ndugu, jitahidini zaidi kufanya imara kuitwa kwenu na uteule wenu; maana mkitenda hayo hamtajikwaa kamwe.
Hawa watafanya vita na Mwana-kondoo, na Mwana-kondoo atawashinda, kwa maana Yeye ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme, na hao walio pamoja naye ndio walioitwa, na wateule, na waaminifu.