Mathayo 20:33 - Swahili Revised Union Version Wakamwambia, Bwana, twataka macho yetu yafumbuliwe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakamjibu, “Bwana, tunaomba macho yetu yafumbuliwe.” Biblia Habari Njema - BHND Wakamjibu, “Bwana, tunaomba macho yetu yafumbuliwe.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakamjibu, “Bwana, tunaomba macho yetu yafumbuliwe.” Neno: Bibilia Takatifu Wakamjibu, “Bwana, tunataka kuona.” Neno: Maandiko Matakatifu Wakamjibu, “Bwana, tunataka kuona.” BIBLIA KISWAHILI Wakamwambia, Bwana, twataka macho yetu yafumbuliwe. |