Mathayo 17:8 - Swahili Revised Union Version Wakainua macho yao, wasione mtu ila Yesu peke yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake. Biblia Habari Njema - BHND Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake. Neno: Bibilia Takatifu Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Isa. BIBLIA KISWAHILI Wakainua macho yao, wasione mtu ila Yesu peke yake. |
Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu yeyote habari ya maono hayo, hadi Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.
Na sauti hiyo ilipokwisha, Yesu alionekana yu peke yake. Nao wakanyamaza, wasitangaze kwa mtu siku zile lolote katika hayo waliyoyaona.