Wanafunzi wake wakamwambia, Tupate wapi mikate mingi hapa nyikani, hata kushibisha mkutano mkuu namna hii?
Mathayo 15:34 - Swahili Revised Union Version Yesu akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, na visamaki vichache. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.” BIBLIA KISWAHILI Yesu akawaambia, Mnayo mikate mingapi? Wakasema, Saba, na visamaki vichache. |
Wanafunzi wake wakamwambia, Tupate wapi mikate mingi hapa nyikani, hata kushibisha mkutano mkuu namna hii?