Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na nyumbani mwake mwenyewe.
Mathayo 13:58 - Swahili Revised Union Version Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutoamini kwao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa hiyo, hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao. Biblia Habari Njema - BHND Kwa hiyo, hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa hiyo, hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao. Neno: Bibilia Takatifu Naye hakufanya miujiza mingi huko kwa sababu ya kutokuamini kwao. Neno: Maandiko Matakatifu Naye hakufanya miujiza mingi huko kwa sababu ya kutokuamini kwao. BIBLIA KISWAHILI Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutoamini kwao. |
Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na nyumbani mwake mwenyewe.
Vema. Yalikatwa kwa kutoamini kwao, na wewe wasimama kwa imani yako. Usijivune, bali uogope.