Mathayo 13:4 - Swahili Revised Union Version Na alipokuwa akipanda, mbegu nyingine zilianguka karibu na njia, ndege wakaja wakazila; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alipokuwa akipanda mbegu, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila. Biblia Habari Njema - BHND Alipokuwa akipanda mbegu, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alipokuwa akipanda mbegu, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila. Neno: Bibilia Takatifu Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia, nao ndege wakaja na kuzila. Neno: Maandiko Matakatifu Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia, nao ndege wakaja na kuzila. BIBLIA KISWAHILI Na alipokuwa akipanda, mbegu nyingine zilianguka karibu na njia, ndege wakaja wakazila; |
nyingine zikaanguka penye miamba, pasipokuwa na udongo mwingi; zikaota haraka, kwa kukosa udongo wenye kina;
Ikawa alipokaribia Yeriko, mtu mmoja kipofu alikuwa ameketi kando ya njia, akiomba sadaka;
Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake; naye alipokuwa akizipanda, nyingine zilianguka karibu na njia, zikakanyagwa, ndege wa angani wakazila.